Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imepiga hatua kubwa kubadili hali ya Chamwino kwa kutatua changamoto mbalimbali na ...
Tanzania imesema askari wake wawili wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ) wameuawa katika shambulio la Waasi wa M23 huko Goma ...
DAR ES SALAAM: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kina mengi ya kujivunia katika kuadhimisha miaka 48 yapo ya chama hicho, ...
DAR ES SALAAM :WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Selemani Jafo ameunda kamati ya watu 15 kwa ajili ya kufuatilia changamoto inayowakumba wafanyabiashara wa Kariakoo ya wawekezaji wageni wanaokuja nchini ...
ENGLAND: Manchester City VS Arsenal: Septemba Uwanja wa Etihad Arsenal waliongoza, kisha Leandro Trossard akala umeme wakawa ...
Amesema cheti cha ndoa ni muhimu kwa mme na mke kwani suala la kuishi pamoja kwa muda mrefu si kigezo pekee ambacho kinahalalisha ndoa bali kama hakuna cheti cha ndoa yanabaki kuwa makubaliano binafsi ...
Aston Villa wanakaribia kukamilisha usajili wa mshambuliaji Marcus Rashford kutoka Manchester United. Rashford anajiunga na Villa kwa ...
CONGO : WANAJESHI  wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wakisaidiana na jeshi la Burundi, wamefanikiwa kufanya ...
SERIKALI ya Israel imewaachilia wafungwa 183 wa Kipalestina, muda mfupi baada ya Wanamgambo wa Hamas kuwaachilia mateka ...
UJERUMANI : ALIYEKUWA Rais wa Ujerumani Horst Köhler amefariki dunia leo jumamosi (01.02.2025) baada ya kuugua kwa muda mfupi ...
MWILI wa mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Simiyu, Latifa Juma ,17, aliyepoteza maisha kwa kujinyonga ...
MKUU wa Shule ya Sekondari Chambo, iliyopo katika Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Zaharani Patrombeyi ...