Chui adimu mweusi ameonekana katika eneo la kati nchini Kenya. Jina 'Black Panther' kama wanavyofahamika chui wengine wa aina hiyo, wamepata umaarufu kutokana na filamu Marekani ambayo inatazamwa ...